DTG
Myths
MYTH
Wanawake hawawezi kutumia DTG.
FACT
Wanawake, wakiwemo wajawazito wanapendekezwa kutumia DTG kama mtu mwingine yeyote na wanapaswa kuwa na chaguo la kufanya hivyo.