Boost

MYTH

Unaweza kupata hep C kupitia kubusu.

Kiss close-up.

FACT

Hep C huambukizwa kupitia damu zinapokutana. Haiwezi kuambukizwa kupitia mate, maziwa ya mama, kukumbatiana au kushiriki chakula na vinywaji.