Boost

MYTH

Ikiwa mtu amekubali kufanya ngono na wewe hapo awali, si lazima umuulize tena.

Communication.

FACT

Wakati wote ni lazima upate ridhaa, hata ikiwa umewahi kufanya ngono na mtu huyo hapo awali. Mara zote mtu ana haki ya kukataa au kubadilisha mawazo yake kuhusu kufanya ngono au vitendo fulani vya ngono. Kumshinikiza mtu au kumlazimisha kufanya kitu ambacho hafurahii hakihesabiwi kama ridhaa.