Boost

MYTH

Unaweza kumwaga maji mengi chooni ili kuondosha kondomu.

Male condom disposal.

FACT

Kondomu haziwezi kushuka chooni. Mara baada ya kumaliza kutumia, funga kondomu kwenye tishu na uiweke kwenye chombo cha kuhifadhi taka.