Boost

MYTH

Kiwango chako cha virusi kwenye damu ni kitu ambacho hakibadiliki.

Blood drop with HIV.

FACT

Kiwango chako cha virusi kitapanda na kushuka kulingana na afya yako ya jumla na jinsi unavyotumia dawa zako. Ukitumia dawa zako vizuri, kiwango chako cha VVU kitapungua.