Kondomu ni nini?
Myths
MYTH
Kondomu huondoa raha zote za ngono.
FACT
Bado unaweza kufurahia ngono unapotumia kondomu. Ongea na mwenzi wako kuhusu vitu ambavyo nyinyi wawili mnavipenda na kwa pamoja mnaweza kupata njia za kuongeza raha kwenu.