MYTH
Ukikosa kutumia dozi ya matibabu yako ya VVU utakufa.
FACT
Unapaswa kupata matibabu kama ulivyoagizwa na daktari wako, hutapata tatizo ukisahau kumeza kidonge - hutakufa. Hata hivyo, ukiona kuwa unasahau matibabu yako mara kwa mara, unapaswa kuzungumza na mhudumu wako wa afya kuhusu hali hiyo. Utaugua usipozingatia dozi mara nyingi.