Boost

MYTH

COVI9-19 haiathiri vijana.

Girl on walk.

FACT

Vijana wanaweza kupata COVID-19 na kuugua pia. Vijana wapo katika hatari zaidi wanapokuwa na matatizo fulani ya kiafya, kwa mfano, pumu, matatizo ya moyo au VVU ambavyo havijatibiwa.