Boost

MYTH

Ni vizuri kutumia virutubisho vingi vya mitishamba ikiwa una VVU.

Unknown pills.

FACT

Unapaswa kuzungumza na daktari wako kuhusu dawa yoyote ya mitishamba au virutubisho ambavyo unatumia. Baadhi ya mitishamba au virutubisho hivi vinaweza kuharibu matibabu yako ya VVU na kuathiri afya yako.