Kujipima
Myths
MYTH
Kujifanyia vipimo humaanisha kuwa hutakuwa na usaidizi.
FACT
Bado unaweza kupata usaidizi kuhusu kujifanyia vipimo. Vyovyote ambavyo majibu yako yatakuwa, bado unaweza kujadiliana na mhudumu wa afya na anaweza kukujibu kuhusu masuala yanayokutatiza.