Boost

MYTH

Baada ya mtoto wako kuzaliwa huwezi kuambukiza VVU.

Breastfeeding with cross.

FACT

Inawezekana kumwambukiza mtoto wako VVU kupitia kunyonyesha, lakini ukifuata kanuni za matibabu Ya VVU unaweza kuepuka kumwambukiza VVU na kumfanya mtoto wako awe na afya njema.