Kupanga ujauzito wako
Myths
MYTH
Watu wenye VVU hawawezi kupata watoto.
FACT
Watu wenye VVU wanaweza kupata watoto. Kupata matibabu ya kupunguza makali ya VVU wakati wote wa ujauzito na kunyonyesha humaanisha watoto wako wanaweza kutopata VVU.