MYTH
FGS huambukizwa kwa njia ya ngono.
FACT
Vimelea haviwezi kusambazwa kupitia ngono au kubusu. Maambukizi ni kupitia tu kugusana na vyanzo vya maji vilivyoambukizwa. Hata hivyo, FGS huongeza hatari zaidi kwa baadhi ya maambukizi ya magonjwa ya zinaa (STIs). Ikiwa unafikiri unaweza kuwa na FGS, unapaswa kuzungumza na mhudumu wa afya.