Boost

MYTH

Watu wanaotumia dawa ni wabaya.

Peer pressure.

FACT

Watu hutumia dawa kwa sababu mbalimbali. Uraibu wa dawa unapaswa kutibiwa kama tatizo la kiafya, si tatizo la maadili ambalo mtu anapaswa kulaumiwa.