Magonjwa yasiyo ya kuambukiza (NCDs)
Myths
MYTH
Hakuna njia ya kuzuia magonjwa yasiyoambukizwa (NCD).
FACT
Kuishi maisha yanayozingatia afya itakusaidia uepuke kupata NCD. Hii inajumuisha kula mlo kamili na kuepuka kunywa pombe na kuvuta sigara.