Boost

MYTH

Wanaume huonyesha kwamba wana nguvu kwa kuwa wadhibiti. Mume mwema daima atapata anachotaka.

Owinile lohluliwe.

FACT

Katika uhusiano mzuri, wenzi wote wawili wana uwezo sawa. Hii inamaanisha kwamba wanasikilizana na kufanya maamuzi pamoja. Kadri wenzi wanavyoweza kufanya kazi pamoja wanapokuwa na tatizo, ndivyo ilivyo bora kwa uhusiano na familia.