Boost

MYTH

Kuwa na VVU ni jambo la kukufanya uaibike.

Boy missing school.

FACT

Kupata VVU si kosa lako na haibadilishi thamani yako kama mtu. Hupaswi kuhisi aibu au kujilaumu.