Boost

MYTH

Watu wanaotumia Vidonge vya kumeza mara kwa mara vya kuzuia VVU (PrEP) hufanya ngono zaidi.

Girl planning condoms for sex.

FACT

Kuna sababu nyingi kwa nini watu huchagua PrEP. Watu wengi hutumia kwa sababu wanahitaji kukinga afya zao. Dhana hii potofu inaweza kuwanyanyapaa watu wanaotumia PrEP na kwa kawaida si ya kweli.