Saratani ya shingo ya kizazi
Myths
MYTH
Virusi vya magonjwa ya ngono (HPV) huathiri wasichana tu.
FACT
HPV ni ugonjwa wa ngono unaoathiri wanawake na wanaume. Unaweza kuzuiwa kwa kutumia kondomu. Kwa wanawake, maambukizi ya HPV yanaweza kusababisha saratani ya mlango wa kizazi.