MYTH
Kusahau dawa zako hakuathiri afya yako.
FACT
Kuzingatia matibabu yako ya kupunguza makali ya VVU hukufanya uwe na afya na kulinda mfumo wako wa kinga. Ikiwa utakosa kutumia dozi mara kwa mara, una uwezekano mdogo wa kufikia kiwango cha virusi kwenye damu kisichoweza kugundulika na unaweza kupata usugu wa dawa (dawa za VVU kutofanya kazi).