Boost

MYTH

Wanaume walioshiriki kimapenzi na wanaume wengine ndio hupata VVU

Four men smiling.

FACT

Mwanaume yeyote anaweza kupata VVU. Kwa hakika, wanaume wengi katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara ambao wana VVU watakuwa wameipata kwa kufanya mapenzi na mwanamke.