MYTH
Mwanaume anayefanya ngono na wanaume hayuko sawa.
FACT
Hakuna kutokuwa sawa kuhusu ushoga. Mtu anayevutiwa na jinsia fulani ni sehemu ya ujinsia wake. Sisi sote tuna ujinsia- wengine wetu tunavutiwa na jinsia tofauti, wengine wanavutiwa na jinsia moja na wengine wanavutiwa na jinsia zote mbili. Hali zote hizi za jinsia ni za asili.