VVU ni nini?
Myths
MYTH
Virusi Vya Ukimwi (VVU) vilitengenezwa maabarani
FACT
VVU ni virusi. Havikutengenezwa na wanadamu lakini vilibadilika kadiri muda ulivyosonga kutoka kwa virusi vinavyoathiri tumbili na sokwe